Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Yaan we akili zako bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi hua najisemea kua nakesha sana jf kwakua sina kazi. Na wenzangu ni hivyo hivyo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnaniua jamanimie nilishawahi kuwaza hivyo hivyo mkuu,nikaconclude jobless sio Becky peke yake,kila nikiingia humu naona watu wanajimwaga id zile zile hahaa
Mama Sabrina tuambie maana ya neno PUGI basiMuacheni Humble wetu jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nisamehe
Pugi maana yake nini?
Ntapigwa ban[emoji23][emoji23][emoji23] ambiele keshaelezeaMama Sabrina tuambie maana ya neno PUGI basi
Kama unajua naomba unisaidie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakuelezea kule jukwaa letu sawa mwenyekitiKama unajua naomba unisaidie.
Eleza tuu kwa kina zaid usiwe na hofu best etuNtapigwa ban[emoji23][emoji23][emoji23] ambiele keshaelezea
Sitaki kuelezea kwenye huu uziEleza tuu kwa kina zaid usiwe na hofu best etu
Ntakuja kukuombea msamaha
Sawa mama vp lakin kwema?Sitaki kuelezea kwenye huu uzi
Niinbobo basi mi ndo promotaNtapigwa ban[emoji23][emoji23][emoji23] ambiele keshaelezea
Ally hapa kaingiaje hapa mkuuUsiforce m.ku.n..u.dn. kutafuna mua Ally happy kasoma HKL na hauna ulichompita
Kama hadi kule uje na picha kabisaNitakuelezea kule jukwaa letu sawa mwenyekiti
Kila kituKama hadi kule uje na picha kabisa
Day 1582 without sexKama unajua naomba unisaidie.
Hahahahaha nigga you nailed itDay 1582 without sex
Nimelala usiku Nimejifunika mwili mzima kwa net na shuka na kuacha dushelele nje ili mradi mbu wasuck
hawa HKL , HGK , KLF N.K wasoma mofimu na mufekane war wasijilinganishe na vichwa vya PCB ,PCM NA PGM wataumia[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jina langu ni CCNP Engineer.
Nina degree ya Telecommunications Engineering.
Mimi ni Engineer wa computer networks (security and data center)
Mimi kama engineer hata siku moja siwezi kulinganishwa na mtu alosoma HKL. Topic moja ya chemistry (ORGANIC) nilosoma A-level ni equivalent to syllabus yote ya HKL form five na six jumlisha na GS.
Mimi kama mwanaume, ni udhalilishaji mbaya kabisa kunilinganisha na PUGI. Mimi sio PUGI, bali ni mwanaume. Waulizeni akina Rebeca 83 na amu na theriogenology na baba swalehe, wao ni mashahidi katika hili.
Huyu PUGI aliletaga UNAFIKI kwenye magroup ya TMT alivogundulika akatimuliwa na chyupi kichwani na Screenshort ninazo, na akibisha naweka namba yake ya cm hapa. Alikua Anatumia nickname ya Spiritual Crypto.
Conlusion:
Kumlinganisha Engineer na PUGI ni sawa na kusema kati ya FLOYD MAYWEATHER na CRISTIANO RONALDO nani mkali (Does it make any sense???)
Sifananishwi na wabwekaji!!!
Engineer atabaki kuwa Engineer, PUGI atabaki kuwa PUGI.
Hivo rasmi huu Uzi umefungwa. Hakuna maana. Ni udhalilishaji.