BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

We jamaa una majigambo aisee......anyway mi sipo kwenye huo mchuano wenu napita tu
 
Huu uzi ndio nauona muda huu mkuu. Huwa sina tabia ya kujinadi ya kitoto kama huyu psycho anavyofanya maana hata watu wenye hela kama akina mengi huwa hawana haja ya kuvaa saa za Gucci ili waonekana wana hela wanakuwaga simple sababu wanajua kwamba wewe unajua wana hela hivyo hawana haja ya kutafuta attention kupitia maneno au bling ... Hii mentality hawana hata kidogo. The same na watu walio successful maishani... They are cool, calm and collected. They know you know their situation.

Inanilazimu niseme hili... kwamba licha ya account zangu mbili muhimu, ya kwanza account ya online E-banking ya NETTELER na nyingine ya Bongo zenye kiasi kikubwa cha pesa kufungiwa baada ya kuingiza hela nyingi kuliko kawaida yake...narudia hela nyingi kuliko kawaida, na wahusika kuhisi labda inaweza kuwa money laundering au inaweza kuwa pesa zinataka kuangukia mikononi mwa magaidi na wao kuamua kublock access na transaction zote hadi pale nitapowapa documents zinazoweza kuverify without any reasonable doubts legality ya pesa zangu na sources zake ikiwemo pia kuwapa barua ya bank ambao nimekuwa mteja wao kwa miaka kadhaa.. Nimeweka hiyo hapo barua ya Crdb bank ikiwajulisha jamaa wa relax na kwamba Mimi ni bonafide customers na ndie mmiliki halali wa huo mkwanja kutona na financial history yangu kwenye benki yao... Mbali na hivyo kuna supporting documents kibao zingine nimetuma England kutoka Tanzania na South Africa zikithibitisha ile pesa kubwa ni yangu na source zilipotokea wamekiri hili. Sidhani kama itazidi miaka 2 nitakuwa na hela ambayo wewe utafanya kazi miaka hadi ustaafu usiipate...! But I'm cool sikuwa nataka watu wayajue haya but jamaa kaniprovoke.

Najua hana hela huyu jamaa na ana msongo wa Mawazo ndio maana hata anataka kukopa milion tano akimbie kazi, JamiiForums - Where we Dare to Talk Openly ambayo Mimi iko kwenye bank nisiyoitumia kihivyo... Exim Bank...Nina milion tano inamangamanga tu kule achana na CRDB, NMB au NETTELER E-banking ambayo hata jamaa haijui na kule Forex jamaa alinitapeli zaidi ya milion 9 but still sijatetereka kiuchumi.

Na hapa natoka church nakula zangu baltika kiulaini, huku song za praise and worship zikikosha nafsi na roho, huku Napush ndinga yangu as easy as Sunday morning...C'mooooon hivi maisha yanataka nini tena kwangu?

Kwenye maisha heshima pesa tu.. Hizo salamu, elimu, ni makelele tu! Tafuta hela kijana, mengine yatafuata.

Ndugu zangu sikupanga kujinadi na sijawahi kujinadi JF but huyu bwege mshinda juu ya minara kaniprovoke na nimegundua sio level zangu...nimeamua kumpuuuza. Cc bachelor sugu Zahra White amu Mama Sabrina

Nimeambatanisha na vielelezo vidogo for more clarification.

Kila la kheri!

View attachment 827601View attachment 827602
 

Attachments

  • IMG_20180805_151446_102.jpg
    135 KB · Views: 171
  • IMG_20180805_150241_567.jpg
    31.1 KB · Views: 134
  • IMG_20180805_160132_055.jpg
    152.4 KB · Views: 127
Hahahaaa heshima pesa mkuu ndio maana sijauliza wewe uweke Point 3 ubaoni ,nimeuliza Accounts ndio jambo la msingi,kibongo bongo kuwa na "MKEBE" na Account ikiwa na 5m ni tajiri,Ngoja nisubiri Majibu ya Engineer ,Kisha nipige kura.
 
Duuuh nyie watu siwawezi aisee ila huyo jamaa yako duuuh!! Nikomee tu hapo!!
 
Mkuu umesema ndio unatoka church mida hii lakini hiyo picha inaonyesha ni usiku (refer taa inayowaka kwenye nyumba nyuma ya gari)
 
Tunashukuru mkuu kwa kuibuka katika mtanange huu,tunakuomba utuelezee kidogo kuhusu huyu mpinzani wako maana promota nimetembelea baadhi ya nyuzi na kukuta mashambulizi kwako ni makali sana je una lolote la kuwaambia wapiga kura?
 
Pesa zawanaume wenzio we zanini
 
mmnh haya...mpaka watafutane in real life wauwane wewe endelea kununua hayo ma coke baridiii
Kwa hayo yanayoebdelea kutafutana ni rahisi mno. Hapo kuna access ya majina ya watu na a/c no. Kupatikana ni rahisi sana. But why????? Kutambiana ktk mitandao....kweli !!! If it was meant to be jokes, could have stayed that way for the best....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…