Opuk Jater
Senior Member
- Dec 25, 2018
- 145
- 131
Hapo umesema neno... Even acting, ukiangalia Tamthilia ya kutoka Kenya itakupa hamu ya kuangalia matukio yanayofuata ila ya Tanzania ubunifu ZERO ila wanajua kukaa nusu uchi utafaidi mapaja....Nimecheka sana waTanzania kucompare music industry ya kwao na hapa na saizo hakuna nchi imewapatia fedha na support kama Kenya. Hizo video there's a time they were all being directed by Kenyans. Mnafaa kushukuru badala ya kupiga kifua
Hivi Unafahamu kuwa filamu za kibongo huwa zinaoneshwa kwenye tv za Kenya?Hapo umesema neno... Even acting, ukiangalia Tamthilia ya kutoka Kenya itakupa hamu ya kuangalia matukio yanayofuata ila ya Tanzania ubunifu ZERO ila wanajua kukaa nusu uchi utafaidi mapaja....
Muziki wa biashara wanaweza but muziki wa kipaji tena unakung'utwa LIVE BILA CHENGA upo KENYA...
Nowadays Watanzania ndo Kiswahili kinawapa taabu tena sana mfano wewe mwenyewe πππKiswahili chenyewe kinawapa tabu
True. She is Kenyan.Katika pitapita mitandaoni nimekutana na hili....
Wakenya wako vizuri sana hawa majirani zetu.
Is Singer Nandy Really Tanzanian or Kenyan? Scooper - Entertainment News: Is Singer Nandy Really Tanzanian or Kenyan?
Sent using Jamii Forums mobile app
True. She is Kenyan.
Kwani ulikuwa hujui?
Hivi huyo ni mwanamziki wa muziki gani?
Nataka kuangalia frequency ya media za Kenya kuandika habari za Bongo artists na Bongo media zinaandika Mara ngapi.Kila msanii wa Tanzania ni superstar Kenya, from gospel to Bongo.