Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Tema huo ugolo mdomoni uongee tukusikie. CBD ya Arusha shindanisha na Moshi. Sisi tunawapatia mwaloni, kirumba, Ghana na nera vs Arusha,
hapo pasiansi na bwiru sijaziweka, ibanda na kabusungu pia.
 
Ugoro sio ugolo. Angalia chizi mwenzio kitu anaona cha maana kupost. mediocre.
 
Wanasema Arusha ni Bata
Lakin sijawahi sikia celebrities wa kimataifa wakienda fanya show huko ..anzia fally ipupa,neyo ,wizkid,shaggy,Kofi Olomide,n.k
 
Interest. Hatufati mkumbo, ata aina ya muziki tunaosikiliza ni tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…