Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/InvestTanzania/status/1837007879091404926?t=4Lvjqax2miH-iweH78R3bw&s=19
My Take: Arusha ni baba yenu siku zote.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/WizarayaUC/status/1837147235559047322?t=NTIm8IMBP4x4_jiJC6TF5g&s=19
 
Miradi 19 kwa 13 cha ajabu nn kama dodoma tu makao makuu ina 13 Mwanza ni nani .Kwanza miradi yenyewe unaijua usikutemiradi ya kufuga mbuzi
Cha ajabu ni kwamba value ya miradi ya Arusha ni mara 3 ya ile ya Mwanza
 
Miradi 19 kwa 13 cha ajabu nn kama dodoma tu makao makuu ina 13 Mwanza ni nani .Kwanza miradi yenyewe unaijua usikutemiradi ya kufuga mbuzi
Aangalie thamani ya mradi na kila mwezi TIC wanatoa report, annual report ndio bora zaidi.
 
Zaidi ya hako kadaraja na Sgr Kuna nini jipya?
Arusha tulipotoka wao ndio wanaenda, miradi ya masoko na stendi tulishamalizana nayo tunaenda kwenye miradi ya kisasa, Mwanza ina flyover (viaduct) ya 1.5km nje ya Dar hakuna kitu kama hiki.
 
Hahhaa mnamjungu sana jamani! Mwanza ni mji mkubwa sana huwezi kuuchukulia poa kwa miradi iliyonayo saizi!
Kiongozi huyo ni mwenzetu anawabeza Arusha kwa kusema wana miradi ya kukuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zaidi ya hako kadaraja na Sgr Kuna nini jipya?
Sio kadaraja ni jidaraja la mabilion ya fedha na barabara unganishi ,usiseme tu Sgr sema sgr,daraja la juu na station mbili za kisasa mjini kati na fela, Airport ya kisasa pamoja na jengo lililopo linaboreshwa upya kwa mabilion ya fedha , kituo cha uokoaji majini cha East Africa, ujenzi wa vyuo vya kisasa DIT(ilemela),TAA (Nyan'gomango), IFM (Kiseke) Mipango (kisesa) na vingine vingi mradi wa soko, miradi ya NHC Mjini kati vigorofa vidogo vinabomolewa kwa kasi kupisha midude ya haja hapo bado miradi ya maji ya mabilion barabara ndo usiseme ni vingi hata kuviandika hapa siwez
 
DIT MWANZA

 
Mumshukuru sana Mama,amewapa miradi Mingi kuliko yule Shujaa wenu uchwara
Bro mwanza inawaka sana nipo dar na wiki hii naenda mwanza oooooohh mwanza napapenda kinoma Jiji linaanza kufumuka Sasa tulikaa kinyonge sana ila Kwa Sasa naanza kuiona taaswira mpya ya mwanza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…