Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Haya bhana, hili jengo la NSSF la juzi linakupa confidence ( Ni sawa na mkazi wa moshi apige picha jengo la NSSF UCHUMI HOUSE alafu hafananishe Kilimanjaro na Zanzibar). Ikiwa ni kwa muktadha wa uchumi Mwanza wako juu.
Majengo marefu yameanza Leo hapo Arusha?
 
Mleta mada toa kwanza hilo libendera la mayahudi wanaokunywa damu za watoto.

Halafu acha kufananisha Mwanza na hicho kijiarusha.

Dar
Mwz
Dom

Waliobakia ndio uwalinganishe na Arusha
 
Wewe utakuwa umeswagwa huko kuja kutumika Kwa kushikishwa ukuta 😁😁
toka ushikishwe ukuta na ngosha wa Mwanza ukageuka kuwa hater wa Mwanza yote na wasukuma wote πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„, wewe hata ukiambiwa Masasi vs Mwanza utasema masasi iko juu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chezea kushikishwa ukute weweπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Gharama za hiyo miradi?
Soma hapo Kila mmja umeandikwa thamani yake pembeni

Arusha = usd 218mln

Mwanza =Usd 58mln

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Hivi wewe Kitombile unaelewa kwamba Geita inaenda kupita Mwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…