Mbeya ni jini kwa sababu nyingine. Ukianza kuangalia miundombinu sijui majengo Mbeya hamna kaziArusha tulikua tunakosa ukumbi wa kufanyia harusi mjini kati ukiachana na kumbi za mikutano, nmeona juzi dom kuna mdada kazindua unaitwa sapphire nadhan bonge la ukumbi, mwanza wanao kwa tunza pia uko vizuri, moro wanao cate hotel mpya, dar kuna mliman city pameshachoka sa hiv, mbeya wanatiaga huruma tu hamnaga ukumbi labda mvizie mbeya pazuri walevi wakitoka au nasoma π
Solution solved
Sasa Arusha tumewaletea kubwa lao zaidi ya b 6 zimelala hapo na kaz imeshaanza
Project ni miezi 12
Ukumbi mkubwa utaingiza watu 1000 na kuna ndogondogo nyingine
Parking ya kutosha upo city center opposite arusha mall
Kazi imeenda wapi? Kama miundombinu gani ambayo haipo ? Kama majengo yapi? ππMbeya ni jini kwa sababu nyingine. Ukianza kuangalia miundombinu sijui majengo Mbeya hamna kazi
Una uhakika Mbeya hakuna ukumbi? Kwamba kuanzia kote kule Kwenye ukumbi wa Jiji,Eden Hotel au Tighimbe kote Huwa huoni kumbi?Arusha tulikua tunakosa ukumbi wa kufanyia harusi mjini kati ukiachana na kumbi za mikutano, nmeona juzi dom kuna mdada kazindua unaitwa sapphire nadhan bonge la ukumbi, mwanza wanao kwa tunza pia uko vizuri, moro wanao cate hotel mpya, dar kuna mliman city pameshachoka sa hiv, mbeya wanatiaga huruma tu hamnaga ukumbi labda mvizie mbeya pazuri walevi wakitoka au nasoma π
Solution solved
Sasa Arusha tumewaletea kubwa lao zaidi ya b 6 zimelala hapo na kaz imeshaanza
Project ni miezi 12
Ukumbi mkubwa utaingiza watu 1000 na kuna ndogondogo nyingine
Parking ya kutosha upo city center opposite arusha mall
Mbeya inatakiwa tumuajiri mtu kama makonda alitangaze jijiUna uhakika Mbeya hakuna ukumbi? Kwamba kuanzia kote kule Kwenye ukumbi wa Jiji,Eden Hotel au Tighimbe kote Huwa huoni kumbi?
Mbona mikutano mikubwa tuu ya kitaifa inafanyika Mbeya? Wanafanyiaga Nje? ππ
Na hapo kuna kfc ndan wala mihogo wa mbeya na mwanza sijui wanajua kitu kinaitwa kfc π€£Duka la Kabwe sio zuri kama hilo la kwenye hiyo project. La Kabwe baya na limechoka
Kuna kasumba imejengeka ya kijinga na wanaoongea hayo hata Mbeya hawaijui na wengine toka Wahame wamekalia ujinga wao ule ule as if Kila kitu kimesima ππMbeya inatakiwa tumuajiri mtu kama makonda alitangaze jiji
Mbeya kuna vitu vingi lakini haviskiki sijui shida ni umbali au nini
Picha iliyoko mbeya ni tofauti kila mtu akitoka mbeya ananiambia hakujua kama ni mji mkubwa ivo na una pisi za kutosha π€£
Mwanza hawajui ila Mbeya tunajua ,huo mgahawa wa kuku n chai ndio unatishia watu? πNa hapo kuna kfc ndan wala mihogo wa mbeya na mwanza sijui wanajua kitu kinaitwa kfc π€£
Hivi unajua Mbeya CC hotel zenye swimming pool hazizidi tanoπKazi imeenda wapi? Kama miundombinu gani ambayo haipo ? Kama majengo yapi? ππ
Ngoja barabara ya njia nne na stendi vikamilike wataelewa tuKuna kasumba imejengeka ya kijinga na wanaoongea hayo hata Mbeya hawaijui na wengine toka Wahame wamekalia ujinga wao ule ule as if Kila kitu kimesima ππ
Trust me mambo ndo yaleyale tu πNgoja barabara ya njia nne na stendi vikamilike wataelewa tu
How comes yawe Yale Yale wakati tutakuwa tumeongeza value ya Jiji?Trust me mambo ndo yaleyale tu π
Hivi unajua hata siongelei mapato ya jiji. Hizo faida ambazo serikali ndo inafaidi sio hata ninachozungumziaHow comes yawe Yale Yale wakati tutakuwa tumeongeza value ya Jiji?
Mwisho huwezi Kuta kitu kama hili Mwanza is Slum maana kumejaa mafukara ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DLBDYoeCedH/?igsh=NmpsM2t4YW5zaXFr
Na Mwanza CC rasmi imezikwa na Mbeya CC ππ
Hujaelewa post yangu, hilo jengo linajengwa Arusha tena CBD, ndio nawauliza nyie wana Arusha bado mnaruhusu ujenzi wa Flemu kama hizi ndani ya CBD? Na NHC ndio wanatamba huge project in Arusha π€£Unatia aibu sana ,Hilo duka kama la Kabwe Mbeya ndio huge project? ππ
Kasumba hiyo ndio hiyo hiyo mnayotumia kukandia kwa Mwanza na wakati Mwanza yenyewe hamuijui,Kuna kasumba imejengeka ya kijinga na wanaoongea hayo hata Mbeya hawaijui na wengine toka Wahame wamekalia ujinga wao ule ule as if Kila kitu kimesima ππ
Tena huyo analalamika watu kuponda Mbeya. Mimi nimekaa Mbeya CC miaka 3 na mara ya mwisho kwenda ni mwezi May mwaka huu yani mwezi uliopita. Napajua vizuri sanaKasumba hiyo ndio hiyo hiyo mnayotumia kukandia kwa Mwanza na wakati Mwanza yenyewe hamuijui,
Hamna kazi gani? Kwa nini nilalamike? Miaka 3 uliyokaa na ulivyoenda majuzi ulikuta kazi ipo au hamna?Tena huyo analalamika watu kuponda Mbeya. Mimi nimekaa Mbeya CC miaka 3 na mara ya mwisho kwenda ni mwezi May mwaka huu yani mwezi uliopita. Napajua vizuri sana
Ukimwambia huyo Mbeya hamna kazi anaanza kulalamika eti Mbeya hatupajui ππ
Nani haijui Mwanza? Kwani mahitaji kuijua Kila mtaa?Kasumba hiyo ndio hiyo hiyo mnayotumia kukandia kwa Mwanza na wakati Mwanza yenyewe hamuijui,
Mbeya Bado sana kulinganisha na wapi Sasa labda Dar na Dom.Hivi unajua hata siongelei mapato ya jiji. Hizo faida ambazo serikali ndo inafaidi sio hata ninachozungumzia
Mimi naongelea maendeleo ya jiji kama jiji kwenye miundombinu, majengo, makazi ya watu nk
Mbeya bado sana unaweza sema sio jiji
Hiyo back up ya serikali ambayo Mbeya inakosa nfo inafanya pawe nyumaMbeya Bado sana kulinganisha na wapi Sasa labda Dar na Dom.
Mapato ya ndani ndio determinant kubwa ya Maendeleo ya watu na pi ndio hutumika kuweka miundombinu mingine ya Uchumi na kijamii kwenye miji kama Mbeya ambao Haina buck up kubwa ya Serikali.
SawaNani haijui Mwanza? Kwani mahitaji kuijua Kila mtaa?
Sehemu yeyote tunaojua Kwa takwimu,video,picha na uhalisia wake.
Sasa Mwanza Kwa Arusha au Dom ni sawa na Kijiji Cha minada ya ng'ombe ππ