ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Ukigonga insert mara y kwanza unagonga tena full image ndio una postHapa huwezi kuwaona
Ni vile tu sijui kuattach picha ๐๐hawa jamaa tumewaacha kwa vingi sana
Angalia hata Google maps inavowakataa kwenye supermarkets apo imeonyesha mwanza yote Hadi usagara Arusha kasehem kadogo tu Kuna supermarkets mara 4 ya mwanza
Arusha ndio hub ya uzalishaji wa mbegu na viwatilifu hapa Tanzania.
Mbona kadogo? Kuna underground facility? Ilibidi ijengwe huko makete kwenye baridi au kwenye Moja ya hifadhi. Ndanindani huko.
Ingia page ya Bashe mshauriMbona kadogo? Kuna underground facility? Ilibidi ijengwe huko makete kwenye baridi au kwenye Moja ya hifadhi. Ndanindani huko.
Angalia hii seed vault ya Dunia imesokomezwa kwenye mlima
View attachment 3442753
Braza kujenga kitu kama hicho Kuna vitu vingi wanaagalia kwanza Hali ya hewa makete Kuna baridi sawa hujakosea lakini ilo eneo wanalojenga kwa Arusha ni kwenye slopes za mlima meru ni moja ya sehemu zenye baridi nchiniMbona kadogo? Kuna underground facility? Ilibidi ijengwe huko makete kwenye baridi au kwenye Moja ya hifadhi. Ndanindani huko.
Angalia hii seed vault ya Dunia imesokomezwa kwenye mlima
View attachment 3442753
Haijaniuma Mimi naangalia mambo ya kitaalamu nasio upepo wa Nini kijengwe arushaBraza kujenga kitu kama hicho Kuna vitu vingi wanaagalia kwanza Hali ya hewa makete Kuna baridi sawa hujakosea lakini ilo eneo wanalojenga kwa Arusha ni kwenye slopes za mlima meru ni moja ya sehemu zenye baridi nchini
Na ndio makao makuu ya tnhpp yaliwekwa tangu kipindi cha Nyerere na Kuna mashamba makubwa sana hapo wanafanya umwagiliaji wa kisasa
Pili Tz Kuna viwanja vya ndege 3 vya kimataifa Zanzibar, dar na kia hapo ni karibu na kia pia na ni karibu na chuo cha misitu olmotonyi ni rahisi kuconnect izo dots
Tatu Kwani ikijengwa Arusha inawauma nini๐๐
Sasa kama we ni afisa kilimo kwanini hawakukusisha kwenye maamuziHaijaniuma Mimi naangalia mambo ya kitaalamu nasio upepo wa Nini kijengwe arusha
Mwanza wauwaji wa albino na vikongwe๐Mwanza halina watu wabovu km wahuko chuga .
Sawa mtaalam nashkuruUkigonga insert mara y kwanza unagonga tena full image ndio una postView attachment 3442742
I am out.Sasa kama we ni afisa kilimo kwanini hawakukusisha kwenye maamuzi
Karibu tena kiongoziI am out.
Saizi hautatuumiza macho tena Kwa picha ambazo zilikuwa hazionekani vizuriSawa mtaalam nashkuru
Hebu angalia hapa kama nimepatia
Na nikitaka kukuita nafanyaje kama kumtag mtuView attachment 3442762View attachment 3442762
Sawa mkuuSaizi hautatuumiza macho tena Kwa picha ambazo zilikuwa hazionekani vizuri