Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kushindanisha Arusha vs Mwanza ni kuiingilia Mwanza kinyume na maumbile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 3442821

View: https://www.instagram.com/reel/DNZ_jaxIW1a/?igsh=ZDFvdWFkY2E5enpv
Hawa watu wa ziwani wanatafuta furaha wakiangalia Zanzibar sa hivi imekua ya moto, Dodoma ndio Kila mradi upo huko wanatafuta pa kujifichia wanaona wajaribu kwa Arusha wakiangalia utalii na mikutano nayo umerudi wanapotea kwenye comment
Mwanza ni level ya Mbeya tena kwenye Gdp Bado Mbeya iko juu πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni kukosa Heshima Kwa Arusha kulinganisha na Mwanza.

Arusha View attachment 3442719View attachment 3442720View attachment 3442721
Na hilo eneo ni la mji mpya wa burka nje kidogo ya mji ni jirani na uwanja mpya wa afcon na eneo linaitwa afcon city ambalo limeshapimwa lote na km 2 tu kufika airport unafika dar au nairobi

Oya Arusha ni Switzerland kabisa hiiπŸ˜‚πŸ˜‚ukizoom hiyo video nyumba zote ni angalau ghorofa moja
Your browser is not able to display this video.
 
Guys wa Mwanza wamekimbia battle wanajitutumua kwenye Uzi wa Dom πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kiuhalisia mwanza Jiji ni kubwa kuliko Arusha, kumbuka Mwanza inaundwa na ilemela plus nyamagana wakati Arusha Jiji ni Arusha municipal pekee,

Ukubwa wa Jiji mwanza ni kubwa vs Arusha,

Hata mapato bado Mwanza ipo juu ukilinganisha na Arusha ambayo sekta kuu ni utalii, mwanza wana uvuvi, kilimo, madini kwa wingi vs Arusha

Watu , bado Mwanza ina watu ukilinganisha na Arusha,

Arusha Ina watu wajanja na wanaona wao ndo wao,

Ina mazingira mazuri kwa Hali ya hewa hasa eneo la Arusha Jiji, vijini na Arumeru

Kingine mtaongezea Ila mwanza na Arusha mwanza ni fire
 
Asanteh sana ndugu umemaliza kila kitu. Maana hawa jamaa zetu vichwa vigumu sana.
 
Asanteh sana ndugu umemaliza kila kitu. Maana hawa jamaa zetu vichwa vigumu sana.
Hakuna anasema Mwanza sio kubwa Kwa idadi ya watu lakini Ukubwa huo umeshindwa kuwa translated kwenye umuhimu ndio maana inazidiwa na Arusha Kwa Kila kitu.

Ona huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DUSqYKcD4Ag/?igsh=MXFwdHEyMDY2YWZxaA==
 
Asanteh sana ndugu umemaliza kila kitu. Maana hawa jamaa zetu vichwa vigumu sana.
Mwanza nimesoma, na Arusha pia ..... Kiukweli mwanza ipo vzr shida ya Arusha wanataka kuwa juu na hawana hoja

Kote ni kuzuri ila mwanza ilishaitangulia chuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…