ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Mna safari ndefu Kufikia level za majiji ya Kimataifa kama ArushaMwanza sio ya Wasukuma ni ya Watanzania wote.
Bado sana kufika level hizi ππHongereni Wasukuma
Mkifika hapa si tutashindwa kunywa maji?Mwanza hainaga kelele sana ila watu wako bize sana kujenga mji wao. Arusha iko na hela ila haina ukuaji kama Mwanza. Hizi zote ni projects mpya kabisa na zote ni Private sector.View attachment 3669229View attachment 3669230View attachment 3669231
Mwanza wanapiga kelele za kujifariji tuu.Arusha inajengwa sana sasa hivi, naona mahoteli yanaota kila sehemu.
Acha kulinganisha Mwanza na vitu vya kijingaππFikeni level hizi kwanza
View: https://www.instagram.com/reel/Da10uuaIcDy/?stkn=MWNhNXkzZTU3dHU5MA==
unabwabwaja sana vipi hapaMkifika hapa si tutashindwa kunywa maji?
Arusha ya Kimataifa kama Simba ππ
View: https://www.instagram.com/reel/DV6xK3SjRvN/?stkn=ajdpNDZndHRncDY3
Inajengwa kama hapaArusha inajengwa sana sasa hivi, naona mahoteli yanaota kila sehemu.
Mwanza ligi yenu ni Mbeya na Kahama πππInajengwa kama hapa
View attachment 3670559
Vitu kutoka Miji ya Kimataifa,huko mwaloni huwezi ona ππππInajengwa kama hapa
View attachment 3670559
Hii tutaita concrete great forest of amazon