Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kuna jengo kubwa sana linashuka hapa maeneo ya Impala...

Sasa sijajua ni huo ukumbi au lah
Pale wanajenga upya hiyo hoteli ya Impala maana ilikufaga Sasa inafufuliwa so tutarajie mazingira mapya baada ya mradi kukamilika.

Inasemekana ni Shabiby amenunua.
 

Arusha ni Jiji ambalo halijapangika vizuri. Ukitoka hapo Mnara wa Mwenge kuja Mianzini, Ilboru na Sanawari utabaini Kuna Skwata za kutosha.

Ukitoka Round about ya Fire kuelekea Unga Limited au ESSO Uswahilini Dampo pia Skwata za Kutosha

Ukitoka Round about ya Kijenge kuelekea Moshono kijenge juu na chini sue banana na kwingineko pia SKWATA ZA KUTOSHA
 
Mwanza na Arusha ipi Ina uafadhari wa kupangika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…