ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Changamoto ya nini? Arusha na Mwanza wapi Wana Changamoto? ππWewe ushajibiwa hapo,Arusha bado inachangamoti kubwa sana ila Mwanza changamoto yake ni jiografia ya milima.
Mwanza hiyo jirani na MOIL.
View attachment 3671544
Sasa huo ukumbi na hiyo stendi ni majengo yenye urefu gani?Changamoto ya nini? Arusha na Mwanza wapi Wana Changamoto? ππ
View: https://www.instagram.com/p/DdWBf_qiPbv/?img_index=1&stkn=MW9hdng5YjRtNWhyeA==
My Take
Ni aibu Kwa Mwanza kujisifia vigorofa vifupi kama hivyo,huwezi Kuta Arusha Wana post hivyo maana ni countless
View: https://www.instagram.com/p/DdWBp4jiPUG/?stkn=a2FzcGMxN3kyZWs1
Kichaka chenu Cha stendi Sasa kimefutwa Rasmi.Sasa huo ukumbi na hiyo stendi ni majengo yenye urefu gani?
Arusha inajengwa na serkali miaka nenda rudi na hakuna cha maana kilichobadilika.
Mwanza sio wanyonge kama unavyodhania na hatujawahi kupewa mbeleko hata siku moja.Mwanza mkiona cranes ziko juu hivi semeni shikamoo Arusha ππ
View: https://youtu.be/F7f8YLkJVbk?si=LIRAHIIXnfkj4CKI
Ni aibu kujivunia jengo la gorofa 7 Kwa Jiji linalojiita la pili Kwa Ukubwa TznMwanza sio wanyonge kama unavyodhania na hatujawahi kupewa mbeleko hata siku moja.View attachment 3677732
Angalia gorofa mpya zinazonyanyuka Mwanza kila kona ujenzi na hapo ni private sekta tu sio mbeleko ya serkali. You Better Watch Your Back.Ni aibu kujivunia jengo la gorofa 7 Kwa Jiji linalojiita la pili Kwa Ukubwa Tzn
Angalia gorofa mpya zinazonyanyuka Mwanza kila kona ujenzi na hapo ni private sekta tu sio mbeleko ya serkali. You Better Watch Your Back.View attachment 3688612
Kama hakuna crane ni kazi BureAngalia gorofa mpya zinazonyanyuka Mwanza kila kona ujenzi na hapo ni private sekta tu sio mbeleko ya serkali. You Better Watch Your Back.View attachment 3688612
Mwanza ipo Juu Kwa kipi au unaongea Kwa mihemko?Mimi sipo Mwanza
Ila kiukweli Arusha inapewa mbeleko na serikali,Wakati Mwanza inajengwa na Raia na Bado Ipo juu Kuliko Arusha,ingekuwa sio mbeleko Arusha ingekuwa kama Mbeya
Bado sana kufika level hizi πAngalia gorofa mpya zinazonyanyuka Mwanza kila kona ujenzi na hapo ni private sekta tu sio mbeleko ya serkali. You Better Watch Your Back.View attachment 3688612