Battle: NEW YORK CITY vs PARIS CITY

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosema hapo juu

naomba tumalize huu utata na tumalize ubishi kuhusu haya majiji makubwa mawili dunian yaan PARIS NA NEW YORK

Huwez kusema na kujitapa mbele za watu kuwe wewe umetembea dunian wakati hujafika parish na new york

Huwez sema kwamba mimi ni mshenz wa starehe wakati huo huo hujawah hata ingia cafe au club za parish na new york

Ndo maana unaona kila siku watu wanakufa baharin had kufikia hatua ya kuuzwa kwa lengo tu la kwenda parish na new york

NEW YORK CITY iko amerika chin ya mbabe trump ni jiji analokaa RIHHANA, JAYZ, BEYONCE, AKON, RILY WAYNE, OBAMA, CLINTON na wengine wengi kuna kila aina ya starehe

PARIS CITY hili jiji liko ulaya chin ya mnyama emmanul kama unasikiaga kama ulaya bas ndo hapa sasa, starehe zote kubwa dunian ziko hapa ni jiji analoish MESS, RONARDO, DROGBA, OZIL na wengine wengi

MIMI BEIRA BABY BOY NIKO LONDON

sasa nakuachia uwanja jiachie nambie paris city na new york lipi jiji kubwa na la starehe

Usije hapa ukaanza kunambia sijui wapi kuna watu wengi hapa sitak watu wengi nataka jiji kubwa, zur na shenz la starehe

Hapa chin nakuwekea picha za kila jiji ili ulinganishe


LONDON BABY
 
Acha kufananisha jiji la New York na upuuzi wowote. Trump New York ziko biashara zake yeye kwa sasa anaishi Washington DC ndiko ilipo White House. Rihanna makazi yake makubwa ni Los Angeles kule maskani ya mastaa wengi wakubwa wa Marekani. Ja Rule ndio mtoto mzaliwa wa New York
 
Hahaaaa unajua jamaa huwa ananikandia sana kwenye nyuz zangu

Leo ndo kachangia maada siku nyingine akija neno lake ni moja
FIX
Binadam Tunatofautina Kimawazo Kufikili Na Kira Kitu

Wew Ni Binadam Kama Binadam Wengine Hunauwezo Wa Kufuraisha Watu Wote Hapa Dunian

Tangu Uzaliwe Ushakutana Na Vikwazo Vingap....??

Icho Cha Jf Ndio Kimekuuma Sana Ndugu Yangu....???

Endelea Kufanya Mambo Ambayo Yanawafuraisha Wale Wanaoamin Unawafuraisha Hao Wengine Waache Na Wao Wafanye Yao
 
Bila kufika Mannhattan bado uko vijijini kama vijiji vingine tu,vyenye mkusanyiko wa majengo
 
New York ni jiji la kibiashara wakati Paris ni Jiji la starehe, Tofauti kabisa
Cc GuDume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…