Hahaha hahahaNakununia
Hahahahah ila mzee wa mtetemo mchokozi sana
Unataka kutuchonganisha eeh! NimeshakushtukiaHuyu huwa anakusema sana hujui tu.
Mkuu wote pm zao ziko lockedAtakayeshinda ndio huyo huyo na mimi ntakua namuelewa!
Na ntaelekea moja kwa moja pm kwake!
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Nawaacha naye mfanye yenu.Na bora amekuja. Maana ulikua watamba sana
Nimemwambia aniombe vizuri anakata viuno tuMtoto wa mwanamke mwenzio anakupenda kwa nn unamtesa
Hahaha hahaha hahahaHapana Bi mother mapenz bhana yanawigo mpana sana
Naweza sema ichi kumbe mzee baba yupo iv
Nw nasikia upo na yule mkurugenzi wa shirika flan iv.......!!!!
Kuja hapa..waenda wapi??[emoji848] [emoji848] [emoji848] Nawaacha naye mfanye yenu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah we kiumbe nakugawa nchi jirani..umekunywa supu ya mapupu asubuhi hii eeh?
Leo hali ya hewa nzuri sikupigi. Naona umesahau nilivyokupiga ukaenda polisi
Hahaha hahaha hahaha
Umejua kunichekesha wewe mtoto....
Naenda kumchukua Dura!Kuja hapa..waenda wapi??
Kazi zimenibana shemela,ukizingatia na mama JJ yupo likizo ndio full kuchokaNani kakuteka lakini shemela mpaka hauonekani
Asante mamaNilikua huko mawasapu dear