Unajua kabisaaa babako amemuoa mama yako, pmaoja na Demiss hivi na mimi nijipeleke hapo kweliiiSasa Si bora uludishe majeshi kwa mzee Baba jaman
Kwa unene gani tushindwe kuinuka !? Vibonge wepesi sie
Umesikiaje kwaniUnasemaaaaaa
Si ungeomba pamoja na Diva kipindi kile.Mm nitaomba michango ya kwenda China kukatwa utumbo mazoezi siyawezi mimi
[emoji23][emoji23][emoji23] Bye ngoja nipeleke magauni ya watu.
Kuhusu Demiss sina hakika maana ni muda sijapata kumuona hapa nyumbanUnajua kabisaaa babako amemuoa mama yako, pmaoja na Demiss hivi na mimi nijipeleke hapo kweliii
Umesikiaje kwani
Wewe ni jiniaz kutudaka mkuuHaha caught in action [emoji848]
Si ungeomba pamoja na Diva kipindi kile.
Magauni tena kwani mzee wa mtetemo we ni fundi cherehani
Poa..mwenyewe nataka nilale..mvua imeshanivuruga[emoji23][emoji23][emoji23] Bye ngoja nipeleke magauni ya watu.
Usijali mwanangu eeehhhKuhusu Demiss sina hakika maana ni muda sijapata kumuona hapa nyumban
Nw hapa nyumban pamepoa sana hakuna radha tangu uwonde wew
Kunjua nafsi Bi Mother
Kwani hujui auHuo usingle umeanza linii dada
[emoji848] [emoji848] [emoji848] Ukitaka kulala uniambie, maana nataka nije kukutishia usingizini.Poa..mwenyewe nataka nilale..mvua imeshanivuruga
Haha[emoji848] [emoji848] [emoji848] Ukitaka kulala uniambie, maana nataka nije kukutishia usingizini.
Haya jirani endelea na mazoezi ya kukata mashavu badala ya tumbo.Haha
Na ninavyopenda kutishwa..[emoji8]
Hahaha,Mkuu kumbe umeshajaribu kuchungulia kabisa?Mkuu wote pm zao ziko locked
Mwaaaaaahh Bi MotherUsijali mwanangu eeehhh
Ukinimiss saaaanaaa njoo namtumbo huku najishighulisha na kilimo