Penda wewe totoMwaaaaaahh Bi Mother
[emoji3][emoji3][emoji3].Hahaha,Mkuu kumbe umeshajaribu kuchungulia kabisa?
HahaHaya jirani endelea na mazoezi ya kukata mashavu badala ya tumbo.
Hahaha,Mkuu kumbe umeshajaribu kuchungulia kabisa?
Mmoja dada yangu
Mwingine mke wangu
Home girl ndugu kabisa yanii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi jadilini wenyewe huko chumban kwenu nan awe mshindi......mkigombana mnakula viboko wote
Sawa tumekuelewa.Wanawake wazuri ni ngumu kuspend Muda JF, wapo insta na Fesibuku, while those ambao ni smart wapo Twitter, Humu JF ni wambea na walioletwa na matatizo.. Remember to EVERY GENERAL RULE THERE IS AN EXCLUSION!
Khan
Ni upuuzu..lakn kama wahusika wamekubali ni sawaHaya mambo ya kulinganisha watu mi ndo siyataki kabisa
Probably unaweza ukawa sawa.. But still naamini JF hakuna wanawake wazuri kama jinsi wanaume tunavyo imagine.. Wengine wanatafta Companionship huku kwa sababu in real life si wa kuvutia kihivyoo.. So Id's zinawasaidia.. By the way mwanamke Kutumia JF ni mwanzo wa kuwa Smart kama atakua anatumia Jukwaa hili vema.. Ila kama atashinda MMU na Jukwaa zingine zenye kufanana na hilo basi hana tofauti na wale IG na FB.. Remember TO EVERY GENERAL RULE THERE IS AN EXCEPTION!Sawa tumekuelewa.
Ila kwa walio insta na Facebook ambao wengi ni slay queens usitegemee mtu kama huyo kuijua JF. Mtu anachotaka kujua ndicho kitampeleka mahali fulani. Niliijua JF kupitia Google wakati niko chuo. Slay queen anachotaka kujua ni danga gani liko kwenye chat mjini nguo gani iko kwenye trend. Viatu pochi n.k. huyo usitegemee ashinde JF kwanza hata kuijua sio rahisi maana google tu hawajui kuitumia.
Japo JF kuna watu wenye changamoto zao ila hata uelewa wao hauwezi lingana na slay queens wa insta na snapchat
Mbona wengi wameshajua huku tuko wenye sura za baba zetu lakini. Ndo maana wakikutana na wazuri wanashangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Probably unaweza ukawa sawa.. But still naamini JF hakuna wanawake wazuri kama jinsi wanaume tunavyo imagine.. Wengine wanatafta Companionship huku kwa sababu in real life si wa kuvutia kihivyoo.. So Id's zinawasaidia.. By the way mwanamke Kutumia JF ni mwanzo wa kuwa Smart kama atakua anatumia Jukwaa hili vema.. Ila kama atashinda MMU na Jukwaa zingine zenye kufanana na hilo basi hana tofauti na wale IG na FB.. Remember TO EVERY GENERAL RULE THERE IS AN EXCEPTION!
Khan
Mbona wengi wameshajua huku tuko wenye sura za baba zetu lakini. Ndo maana wakikutana na wazuri wanashangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ahahaaha.. Huenda.. But uzuri wanaume si wote wanaoangalia uzuri wa sura..Mbona wengi wameshajua huku tuko wenye sura za baba zetu lakini. Ndo maana wakikutana na wazuri wanashangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Naanza kuamini kuwa JF wazigua ndo tumefunika kwa wingi na Tunastahiki tupewe posho na Maxene meloMzigua mwezangu unashingapi nikupigie debe,,, ila ndo nimejua leo kwamba na huyo mwingine na kumbe ni home girl
Bado wewe tunkutaftia wa kukupambanisha nae.Haya mambo ya kulinganisha watu mi ndo siyataki kabisa