Insta Babe..
Dada zangu wote. Kila mmoja ana nafasi yake!
Niulizie kwa huyu kaka nilichomkosea nimuombe msamaha sio kwa kununiwa hukuHii Ngoma ni Draw and Both team to score
Hahaha Ngabu
Tutayazungumza kifamilia mdogo wangu ila hakuna shida yoyote.Niulizie kwa huyu kaka nilichomkosea nimuombe msamaha sio kwa kununiwa huku
Lini utambadili Pogba...
Wote wa-TA wenzangu
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Wote rafiki zangu
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Wote nawapenda
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Wote wananivutia
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Wote nawakubali sana.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Itafika siku yake Ngabu nitambadili tu humtaki Pogba
Basi nitaiweka njano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeimiss ile njano njano na ile chui chui.
Hata kijani nayo itapendeza tu.
Haya mambo ya kulinganisha watu mi ndo siyataki kabisa
Mambo shunieUtoto tuuuu
Huyu mleta uzi anataka kuona mtasema niniUtoto tuuuu
Wote wadogo zangu haoAsibadilishe,
Ina maana Mkuu ukiambiwa ubebe mmoja utabeba yupi?
huwezi pewa wote.
Haya mambo ya kulinganisha watu mi ndo siyataki kabisa
Huyu mleta uzi anataka kuona mtasema nini