PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Sasa kama gari zote zina top speed 180kph mmoja akiwa mbele na 180kph huyu wa nyuma atapita vipi na barabara ni straighline?Labda ingekuwa kwenye race track ndio ungeona ufundi wa dereva au gari yenye take off nzuri.Hii video imekuwa gumzo na kila MTU ameongea lake Kwa utaalamu wake juu ya magari.
Toyota mark X engine ya 4GR six cylinders imeshindwa kuipita Subaru forester XT engine EJ20. Mwenye mark X yupo kwenye speed 180 na mshale umekopa kabisaa huku RPM ikiwa kwenye 5000p/m .
Wale wataalamu wa magari watupe elimu kidogo hapa kwanini mark X ameshindwa kupindua meza Kwa forester.
Kilasiku huwa nawahusia vijana wa Subaru forester non turbo waachane kabisaa na ligi za barabarani kwasababu magari Yao hayana uwezo View attachment 3573632
Ha ha ha max speed yako ni ngapi? Hata ile N52 hujawahi clock 200kph?Hadi nimeogopa aisee.
Ina maana hata IST ingeweza kukaa mbele akiwa kwenye speed 180?Sasa kama gari zote zina top speed 180kph mmoja akiwa mbele na 180kph huyu wa nyuma atapita vipi na barabara ni straighting? Labda ingekuwa kwenye race track ndio ungeona ufundi wa dereva au gari yenye take off nzuri.
Wewe unaweza kumpita mtu alie mbele yako na ana mwendokasi kama wewe?Ina maana hata IST ingeweza kukaa mbele akiwa kwenye speed 180?
2GR ni balaa Sana hiyo engine... Toyota hapa walituliza Sana akili4gr haiwez ku battle na SH5 TURBO KWASABABU YA HORSE POWER , YA 4gr inaishia 215, wakat ej20 turbo inafika 256 nadhan, hapo huyo angekutana na 2gr au 3 gr ndo ingekua unyama
Yah ni kwel na wameweka power ya kutosha sana, ila hiz 4gr hazitoboi kwa ej20 turbo2GR ni balaa Sana hiyo engine... Toyota hapa walituliza Sana akili
Boss kuna uzi niliona unasema utakuja na uzi wa subaru xt, kutoa ushuhuda.... Vp ulighairisha π wengi tunausubir ujue2GR ni balaa Sana hiyo engine... Toyota hapa walituliza Sana akili
Nitapost Tu mkuu kuwa na subira ....nadhani unyama wa hii chuma unaona hapo kwenye videoBoss kuna uzi niliona unasema utakuja na uzi wa subaru xt, kutoa ushuhuda.... Vp ulighairisha π wengi tunausubir ujue
Sawa mkuu, unyama unaonekana sema tunataka experience kabisa wa user kwanye kila nyanjaNitapost Tu mkuu kuwa na subira ....nadhani unyama wa hii chuma unaona hapo kwenye video
Aaah!!! Hiyo legacy ni Moto mkubwa Sana alafu ukutane na legacy 2,4L engine capacity huyu anapigana vita na wajerumani TuNa hapo ni Cross Over na Sedan... Hiyo Mark X kwa Legacy ingekaa vibaya sana
Nataka niwaletee S402 moja π π πAaah!!! Hiyo legacy ni Moto mkubwa Sana alafu ukutane na legacy 2,4L engine capacity huyu anapigana vita na wajerumani Tu
Niliwahi mara moja. Sitakaa nikarudia. Kufa rahisi sana.Ha ha ha max speed yako ni ngapi? Hata ile N52 hujawahi clock 200kph?
Gari za maana ni kama zipi?Subaru watu huwa wanapenda tu kuziover hype ila ni gari za kawaida tu kama sio STi version.