Battle: Subaru forester SH5 turbocharged Vs mark X

Gari za maana ni kama zipi?
Sijasema sio gari ya maana.

kama ni mfuatiliaji mzuri wa hayo mambo ya racing hapa kwa East Africa bila shaka unajua kuwa JDM sio habari tena watu siku hizo wapo GDM.
N:B: GDM zenyewe ni perfomance specs i.e AMG, M sport, GTI etc sio base models.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…