BattLE :Young killer(msodokii) vs young dar es salaam

BattLE :Young killer(msodokii) vs young dar es salaam

wasaa9

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2017
Posts
566
Reaction score
209
Am hip hop fans from all over the world, kwa Tanzania ukiachana na fid q, mwanafa, niki wa wote na wengne kibao KUna wanasanii hawa wawili, young killer na yangi d almost watatu iv lkn huyu wa tatu ambaye ni dogo janja (janjaro wa ngalenaroo. ) naachana nae coz ameupiga chini music hip hop na kusema huna pesa

Swali langu: nani unamkubal zaidi kwa michano, swaggz, na maendeleo ktk music kati ya young killer na young dar es salaam
 
Huu moto unaowasha saizi uwe na uwezo wa kuuzimaa....msodoki hatariii aiseee
 
Swag--young d
Michano-----killer
Maendeleo yao hayanihusu.......napambana na yangu
 
Back
Top Bottom