Am hip hop fans from all over the world, kwa Tanzania ukiachana na fid q, mwanafa, niki wa wote na wengne kibao KUna wanasanii hawa wawili, young killer na yangi d almost watatu iv lkn huyu wa tatu ambaye ni dogo janja (janjaro wa ngalenaroo. ) naachana nae coz ameupiga chini music hip hop na kusema huna pesa
Swali langu: nani unamkubal zaidi kwa michano, swaggz, na maendeleo ktk music kati ya young killer na young dar es salaam