Batuli aka Cleopatra
Member
- Sep 16, 2013
- 63
- 56
- Thread starter
-
- #141
Mie nataka kuigiza movie ya CHADEMA.
Naomba mwongozo.
Mama Batuli hujajibu mbona post yangu? Nilikua nahoji uraia wako
Karibu batuli wa kanumba. Ila usikasirike kwa maudhi ya watu humu ndan.
Karibu dada!karibu,nimependa ujasiri wako na be warned hatutafuni maneno humu!utapongezwa ,utatiwa moyo,utaungwa mkono,utakosolewa ,utasemwa.utafokewa,utasimangwa!Salaam sana wana Jamiiforum
Nimeona ni vema nami nijiunge JF ili kuweza kujifunza mengi na kupata mawazo mbalimbali ya kimaendeleo na ya kujenga.
Mimi ni Actress wa Filamu za Kitanzania.
Asanteni sana.
Karibu dada!karibu,nimependa ujasiri wako na be warned hatutafuni maneno humu!utapongezwa ,utatiwa moyo,utaungwa mkono,utakosolewa ,utasemwa.utafokewa,utasimangwa!
Usiseme sijakwambia japokuwa kwa mujibu wa waifu wewe uko poa tu,pokea pongezi yangu ya mwanzo !
Karibu sana minofu. Ukiwa tayari nijulishe nitakuunganisha na Meneja kwa taratibu nyingine.
minofu me soon naachia kitu changu hewani..we kaa mkao wa kula
aisee hebu nipe script nianze kuisoma....!
sasa ole wako, director uwe wewe, producer wewe, light man wewe, jambazi wewe, makeup wewe na usambazaji wewe!!!
BATULI kumekuwepo na wimbi la wasanii kufa wakiwa maskini pengine kinyume na matarajio ya watanzania.
Na wasanii utupata lawama zote kwa serikali kana kwamba hawapati chochote kabisa kwenye kazi zao na huku tukiwaona wanaishi maisha ya anasa huku wa kibadili magari kila leo tena kwa kushindana.
Hivi unafikiri ni haki kabisa lawama zote kutupiwa serikali?
Nini tatizo kwa wasanii wetu?
Karibu Jf Were we dare to talk Freely.....
ila sijakufaham vizuri may be ni ufuatiliaji wangu mdogo wa Bongo Movies
karibu batuli, ila ukubali na uwe tayari kupongezwa na kukosolewa uwapo JF.......karibu sana mwali
Bila shaka na asante. Baadhi ya kazi zangu nimeshaziweka.
hahaaa Avemaria mie nipo kwenye mpango wa kutoa movie yangu mpya
ndo niko lokesheni ila directa mimi,producer mimi script mimi.......editor mimi.main actor mimi
Hahah hata hivyo kuna masop sop ya kufa mbweha!! lolhehehehehe mie kwenye scene ya housegirl ndo ntaonekana kidogo
Usijali mpendwa. Tutasaidiana wote. Hata mimi bado natafuta pia.