mliokuja na mbio za mwenge mjini lazima muwaite wanamuji warugaruga, wewe unauza kinondoni leo unajiona mjanja enzi zetu za kununuwa nyapu tulikuwa tunaenda magoti, then kujirusha seven floor. wewe kipapa ulikuwa wapi kipindi hicho?
Tumuulize kuhusu nn labda?
Hyo mimba ya kwanza hvyo tu inampeleka puta akishika nyingine Sijui itakuwaje na mume wake ana kazi
Amina mpendwa....Bwana yesu asifiwe ?
View attachment 182657
Batuli
Kwa mara nyingine , staa wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf Batuli amemwaga data za kimapenzi akidai hajawahi kumpendamwanaume kama alivyompenda NiceMohammed Mtunis .Staa wa sinema za Kibongo , Yobnesh Yusuf Batuli Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni.
Batuli alisema licha ya kuwa walimwaganana staa huyo lakini hatokuja kupendamwanaume kama alivyompenda Mtunis .Nilivyompenda Mtunis ni ngumu sana kumpenda mwanaume mwingine kama hivyo na kwa kawaida kupenda huwa ni mara moja tu mengine tutadanganyana, alisema Batuli.
Hivi karibuni Batuli aliripotiwa kutikisa ndoaya Mtunis ikidaiwa kuwa bado ana uhusiano naye lakini cha ajabu mtoto wa kike hakuonesha dalili zozote za kukanusha taarifa hizo .