Batuli naye adai yupo tayari kucheza movie yeyote ya utupu

Sasa kwani kucheza mechi ya majaribio ndio kucheza movie za uchi?
lengo wote mupate majaribio,wewe unajaribu kifaa chako utendakazi wake baada ya ku upgrade nayeye anajaribu kifaa chake mwonekano wake mbele ya jicho!
 
Ha ha ha ha ha ha wanawake bana ifke mda tutambue kuwa nyota huwa inafifia ikisha mda wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…