Batuli: Wasanii Wengi wa Kike ni Wavuta Bangi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Akiwa katika mahojiano na na mwandishi wa swahilitz msanii mwenye heshima kubwa katika kiwanda cha bongo movies Yobnesh Yusuph "Batuli" aliweja wazi kuwa wasanii wengi wakike ndiyo watumiaju wazuri na ndiyo wanaingoza kwa uvutaji bangi kuliko wakiume. Batuli alisema kuwa wasanii wengi wakike wamekuwa wakitumia sana kilevu hicho cha marijuana ama ganja hasa wanapokuwa katika magari yao, nyumbani, wakiwa location na hata wengine hujiiba kwa kujificha katika sehemu zisizoonekana lakini harufu ya mmea hui huwaumbua pindi wanaporejea

"wanawake ndiyo nimekuwa nikiwashuhudia sana kwasababu mara nyingi nimekuwa nikitembelea katika vyumba vyao wanavuta sana BANGI hata muda mwingine utawakuta wamejufungia katika magari wakivuta.
Wengine hujitahidi kujificha lakini harufu ndiyo huwa inawaumbua mara nyingi." alisema Batuli
 
Huyu demu anapenda sana kuchafua wenzie kama yeye msafi, mbona yeye hajitangaz alivyokuwa anajipendeza kwa chief kiumbe na kujitangazia kuwa chief ni mtu wake kisa alimuazima gari akafanyie shooting hadi chief mwenyewe kashangaa na kukana kuwa siyo mpenzi wake, bongo movie wote Malaya tu
 
Hii nayo nayo muvi au?maana hawa sio wa kuwaamini wakiongea kitu utakuta ndio jina la muvi yake mpya siamini akina Wema wanavuta bangi nyingi kuliko akina Hemedi
 
Safi ila usiseme bangi, sema "DAWA


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sio dawa sisi marasta tunaita sakrament takatifu na huwa tunaitumia kufanya ibada zetu!

Hao wengine ni kama wanacheza na imani za watu ndio maana wanawehuka
 

Yaani...nilikuwa namfagilia zamani kuwa she is humble ila naona siku hizi kama anajifanya perfect sana....ila tuusifu mkorogo....Katokelezea dada wa watu.
 
Yaani...nilikuwa namfagilia zamani kuwa she is humble ila naona siku hizi kama anajifanya perfect sana....ila tuusifu mkorogo....Katokelezea dada wa watu.

Kwa uzuri mzuri sana ki ukweli, ila naona anatafuta jina kwa nguvu
 

nakukubali sana warumi hakuna usichokijua kuhusu mastaa wa kibongo
 
Kama anafanana na Irine Uwoya,Pili kajuaje wanapiga msuba au yeye kastaafu.
 
Nilivyomcheki kwenye picha kama ananiita hivi.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…