BAVICHA kuongea na Wanahabari Makao Makuu ya Chadema Kinondoni, Nje ya Jiji la Dar es Salaam

BAVICHA kuongea na Wanahabari Makao Makuu ya Chadema Kinondoni, Nje ya Jiji la Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa mpya iliyosambazwa na Bavicha kwa vyombo vya habari , ambapo imetajwa kwamba Mkutano huo utafanyika , Kinondoni Mtaa wa Ufipa. Nje kabisa ya Jiji la Dar es Salaam .

Instagram_post_by_Patrick_Ole_Sosopi_•_Mar_29,_2021_at_1:58pm_UTC%22_.jpg
 
BAVICHA hawana lolote, LABDA KAMA WANA TAKA CHEO TU KAMA patrobas katambi.
 
Wamepata kiki ya kutokea...BAVICHA bhana!!
 
Tutamlipa mwenyekiti hela kwa ajili ya kufanyia mkutano hapo au ndo atakuwa anakata kidogo kidogo kupitia ruzuku ya chama?
 
Hahahahahah kila mtu anaanza kufurukuta sasa ajulikane yupo
 
Mambosasa ana taarifa? Msije mkakumbana na TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA zinaonesha kutakuwa na uvunjifu wa Amani! Amri kutoka juu.
 
Back
Top Bottom