Pre GE2025 Bavicha kusiwe na ukomo wa Uongozi kabla Mtu hajavuka miaka 60 ambao ndio umri wa Ujana kibiblia

Pre GE2025 Bavicha kusiwe na ukomo wa Uongozi kabla Mtu hajavuka miaka 60 ambao ndio umri wa Ujana kibiblia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Chadema Mbowe amesema Katika nafasi zote za uongozi pale Chadema hakunaga Ukomo wa Uongozi

Lakini mimi nafahamu Bavicha Wana Ukomo Kwa kigezo Cha umri na hii siyo Sawa

Umri wa Kijana kibiblia ni miaka 60 mwisho japo juzikati JK alisema hata UN Kwa Viwango vya sasa miaka 70 ni Kijana

Ili kuitendea haki Demokrasia John Pambalu aruhusiwe kutetea KITI chake pale Bavicha

Mlale Unono 😀
 
Back
Top Bottom