Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
BAVICHA kazi zetu za kila siku za SIASA na UJENZI wa CHAMA zianze kufanywa na WAFUNGWA?,
Hata mwenyekiti akitutenga na kuteua kutoka CCM sisi tusikubali kugoma na kuwaachia wazee wakakodi wafungwa.
Jukumu la kukijenga chama na kupeperusha bendera za chama hai Cha siasa ni la vijana.
Suala la kukodi watu wakulia msibani tuwaache UVCCM. Tutengeneze vijana wengi wakaajiriwe huko kwao wawatumikishe.