Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
😆😆😆BAVICHA kazi zetu za kila siku za SIASA na UJENZI wa CHAMA zianze kufanywa na WAFUNGWA?,
Hata mwenyekiti akitutenga na kuteua kutoka CCM sisi tusikubali kugoma na kuwaachia wazee wakakodi wafungwa.
Jukumu la kukijenga chama na kupeperusha bendera za chama hai Cha siasa ni la vijana.
Swala la kukodi watu wakulia msibani tuwaache UVCCM....Tutengeneze vijana wengi wakaajiriwe huko kwao wawatumikishe.
Ama kwa hakika CCM imebaki kuwa sikio la kufa....
Ccm ilisha kufa baada ya mwl JK Nyerere kuzikwa
Mkuu toka lini mtu Mzima akahangaika na mfu. Kutesska kwako Ni dalili mtu Yuko hai na Ana madhara.