Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba BAVICHA ndio Taasisi pekee inayojishughulisha na Masuala ya Vijana nchini Tanzania kwa vitendo kabisa.
Pamoja na kwamba Dunia nzima kwa sasa inajiandaa na Siku ya Vijana Duniani ambayo itaadhimishwa 12/8/2022 , lakini hakuna Juhudi zozote za Serikali ya CCM wala Taasisi yake yoyote inayohangaika na Jambo hili, Wao wamekazana KUHUJUMU USAILI WA SENSA, ili wapate hela za kujikimu, Wamesahau kabisa kwamba VIJANA NDIO KUNDI KUBWA NA LENYE NGUVU NCHINI MWAO, vijana wana nguvu kichwani na wana nguvu za mwili pia, unawezaje kupuuza kundi kama hili?
Pichani ni viongozi wa Taasisi bora ya vijana Barani Africa, Wakiratibu na kupanga mipango ya Kidunia ya vijana katika maandalizi ya siku ya vijana.