BAVICHA, UVCCM Wapinga katiba wako wapi?

BAVICHA, UVCCM Wapinga katiba wako wapi?

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,287
Reaction score
1,607
Miezi kadhaa kulikuwa taarifa mahususi kupitia Channel Ten na TBC ikiwa na matamko ya kwamba BAVICHA haihitaji katiba mpya.
Walienea kila mkoa na kwenye vyuo, nani alikuwa anawafadhili badala yakutusaidia maji na umeme.

Vyombo hivyo vya habari vilikuwa vinalipwa na taasisi ipi?

Chongolo amesikika akisema vijana waache chuki, visasi, majungu, uchawa, hila nk.

Je, ana ushahidi?
 
Back
Top Bottom