Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ile Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa, na ambayo inatajwa kushika nafasi ya 3 kwa Ubora duniani (BAVICHA), tayari imefika ndani ya uwanja wa Mkapa kwa ajili ya kushudia mtanange wa Mahasimu Wawili wakubwa katika soka la Tanzania , Simba na Yanga .
Bavicha ambao wameingia uwanjani hapo wakiwa wamevalia fulana zao kali zilizoandikwa "KATIBA MPYA" wameamsha Shangwe za kufa mtu baada ya kushangiliwa na UWANJA MZIMA , jambo lililoleta taharuki kwa muda kabla ya uwanja kutulia .