Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wanaweza kamatwa na Kingai[emoji1]Ile Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , na ambayo inatajwa kushika nafasi ya 3 kwa Ubora duniani , tayari imefika ndani ya uwanja wa Mkapa kwa ajili ya kushudia mtanange wa Mahasimu Wawili wakubwa katika soka la Tanzania , Simba na Yanga .
Bavicha ambao wameingia uwanjani hapo wakiwa wamevalia fulana zao kali zilizoandikwa "KATIBA MPYA" wameamsha Shangwe za kufa mtu baada ya kushangiliwa na UWANJA MZIMA , jambo lililoleta taharuki kwa muda kabla ya uwanja kutulia .
View attachment 2040649
Ngoja tuoneWanaweza kamatwa na Kingai[emoji1]
hahahahahaha! kingaiWanaweza kamatwa na Kingai[emoji1]
Simba ikishinda watakamatwa wakati wakitoka uwanjani.Ile Taasisi bora kabisa ya Vijana Barani Africa , na ambayo inatajwa kushika nafasi ya 3 kwa Ubora duniani (BAVICHA) , tayari imefika ndani ya uwanja wa Mkapa kwa ajili ya kushudia mtanange wa Mahasimu Wawili wakubwa katika soka la Tanzania , Simba na Yanga .
Bavicha ambao wameingia uwanjani hapo wakiwa wamevalia fulana zao kali zilizoandikwa "KATIBA MPYA" wameamsha Shangwe za kufa mtu baada ya kushangiliwa na UWANJA MZIMA , jambo lililoleta taharuki kwa muda kabla ya uwanja kutulia .
View attachment 2040649
kwa kosa gani ?Simba ikishinda watakamatwa wakati wakitoka uwanjani.
Siyo kila chekundu ni Simba , vingine ni damuKosa lao hakuna waliovaa yanga.
Hivyo bavicha ote simba.
Wamefeli kwenye manzari.
Mbowe na Halima James Mdee ni Yanga damu!Simba ikishinda watakamatwa wakati wakitoka uwanjani.
we unaonaje ?Bavicha ni wavulana watupu?!
Duh!!Siyo kila chekundu ni Simba , vingine ni damu
angalia post #9 jibu liko paleSasa mbona wamevaa nyekundu. Ina maana nao ni mashabiki wa Simba?
wewe tu mkuu na macho yakoCheki sura zao, wameweka userious flani hivi as if they are a big deal!