BAVICHA watoa ufafanuzi mazingira ya rushwa kwenye uchaguzi wao

BAVICHA watoa ufafanuzi mazingira ya rushwa kwenye uchaguzi wao

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Taarifa ya BAVICHA iliyo chapiswa kupitia mtandao wa X imeeleza kama ifuatavyo

Si kweli kuwa kuna mazingira ya rushwa (kwenye uchaguzi wa BAVICHA Taifa , Idrissa Kassim alikabidhiwa fedha za nauli kwa wajumbe wa BAVICHA kutoka Kanda ya Magharibi, wakati akiwalipa ndio ilitafsiriwa kuwa anatoa rushwa" -BAVICHA

Soma Pia: Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa nauli uchaguzi Bavicha


"Alikabidhiwa fedha hizo kwa sababu yeye ni Katibu wa BAVICHA Kanda ya Magharibi" -BAVICHA

Screenshot 2025-01-14 020133.png
 
Mjombla angu Mbowe hakikisha kikoba unakilinda kwa gharama yoyote, ukikwama mpigie Abduli aongee na maza ake.
 
1. nauli bila kukagua tickets
2. nauli wakati uchaguzi unaendelea
3. nauli bila kusainisha wajumbe
4. nauli uchochoroni
5. nauli kugawiwa na mgombea

Wakati tunatoa ufafanuzi tukumbuke, WANACHADEMA sio wageni kwenye utaratibu wa kugawa nauli

Nimeitoa mahali kwa kuikopi kama ilivyo.
 
Back
Top Bottom