Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Nimefuatilia Uchaguzi wa BAVICHA unaonekana umejaa wahuni wasiojitambua kabisa wakiongozwa na Mwenyekiti wao,nimeona wengine wanasema walifoji vyeti ili wagombee,wengine wanasema bila Posho hakuna kura,wengine wanakamata walipa Posho wanawatangaza ni watoa Rushwa bila kujua athari zake kwa Chama nk
Nimeona Pambalu mwenyewe akitoa hotuba ya kihuni iliyojaa majungu ikionekana as if anamnanga Mbowe kwa tuhuma zilezile zisizo na ushahidi, ule ni utovu wa nidhamu na kushindwa kuelewa uongee nini na wapi hata kama alishangiliwa na wahuni wenzake wanaoonekana waziwazi walipangwa,Kampeni za kitoto kabisa.
Nimempenda Mbowe alivyowajibu kuwa wakati CHADEMA inaanzishwa wengi walikuwa hawajazaliwa na kama kungekuwa na Kampeni chafu kama hizo huenda hiyo BAVICHA wanayovimba nayo wasingeikuta leo.Kimsingi huwezi kumtenganisha Mbowe na BAVICHA ya leo na huwezi kumkosea heshima mtu ambaye alikuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Vijana wa CHADEMA, wakina Pambalu wameamkia alipolala Mbowe.
Niwaombe Lissu,Heche,Lema,Libe na Wanaharakati wengine msiwaharibu vijana kwa kuwafundisha Siasa chafu,Nimemsikia Heche anavyowafundisha watu kurekodi mambo ya Chama na kusambaza mitandaoni badala ya vikao vya Chama na pia nimemsikiliza vitu anavyoongea juu ya Samia nimemdharau sana.
WanaCHADEMA msiruhusu chama chenu kikakabidhiwa kwa wahuni mtamkumbuka Mbowe baada ya muda mfupi sana.