BAVICHA ya Pambalu imesheheni wahuni siyo wanasiasa

Mbowe must go
 
Binafsi ninazitazamia siasa za upinzani hasa CDM kwa kinachoendelea kwa vijana kuna mambo hayako Sawa hasa swala la kuheshimiana.
 
Binafsi ninazitazamia siasa za upinzani hasa CDM kwa kinachoendelea kwa vijana kuna mambo hayako Sawa hasa swala la kuheshimiana.
Mbowe alitakiwa baada ya kusoma alama za nyakati ajihudhuru, sasa Acha apate heshima aliyoitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…