Bavicha yaishangaa uvccm zanzibar kuhusu mwanasheria mkuu wa zanzibar

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
266
yadai ni vijana waliopitwa na wakati.
wamedai wameshtushwa na kauli ya vijana hao kumtaka rais shein amfukuze kazi mwanasheria mkuu kuhusu maoni yake ya serekali 3.
 
wao kilaauti anakuja na wazo tofauti hata zuri inafukuzwa achaeni wamalizane kwanza then 2015 tumalizie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…