Uchaguzi 2020 BAWACHA Kawe wako tayari kulinda heshima ya Jimbo lao

Uchaguzi 2020 BAWACHA Kawe wako tayari kulinda heshima ya Jimbo lao

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,413
Reaction score
23,592

Wanawake wa Kawe wameapa kulinda heshima ya Kawe kwa kutoruhusu hilo jimbo kuangukia mikononi mwa tapeli wa kimataifa aliyejivika ngozi ya udini. Wamemhakikishia Mwenyekiti wao wa Taifa, Mhe. Halima Mdee, kuwa kura zote za wakazi wa Kawe ni zake.
 
Hata huyo unayemuita tapeli nae amehakikishiwa na wanachama wake ushindi.
Tusubirie sanduku la kura litasemaje
 
Mdee ametesa wana Kawe kwa miaka kumi

Tumemchoka, tunamtaka Gwajima
 
Wanataka kusema Taaleban Askofu Rashidi kwa kushirikiana na Bashite chini ya uangalizi wa shehe ubwabwa atafeli?? 😂
Nileteeni Rashidi.
Nileteeeeeeni Rashidi!
Niiileeeteeeeeeeeniii Rashidi!!!
Niiiillleeeeteeeeeeeeeeniiii Raashhiiidiii!!

Everyday is Saturday................................😎
 
Back
Top Bottom