Bawacha ndio Taasisi Pekee ya Akina Mama inayoweza kuandaa kongamano Bora la Wanawake Duniani, Mamluki mtaburuza mkia tu

Bawacha ndio Taasisi Pekee ya Akina Mama inayoweza kuandaa kongamano Bora la Wanawake Duniani, Mamluki mtaburuza mkia tu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Iko hivyo na haitakuja kubadilika, Fuatilia Makongamano yote ya Mamluki yanayofanyika leo, halafu linganisha na Kongamano la Chadema linalofanyika Mlimani City, Utanishukuru.

Screenshot_2025-03-08-12-14-49-1.png
Screenshot_2025-03-08-12-48-36-1.png
Screenshot_2025-03-08-13-33-22-1.png
 
Hayo magauni ndio sare ya chama?

Nauliza kwa nia njema
 
Ndivyo inavyotakiwa. Ila mpiga picha hajawatendea haki. Sasa mnatakiwa mboreshe social media yenu kwa kuwa na updates za kila mara.

Amandla...
 
Unayaonaje ukifananisha na yale matenge ya kichovu ya upande wa pili?

Yako vizuri kuliko ya mbogamboga

Nadhani kama mchangiaji alivyosema hapo juu CHADEMA watafute photographer mzuri
 
Kwakweli maadhimisho yamefana sana, na hakuna aliyebebwa kwenye fuso wala kuahidiwa nyama za Ng'ombe.

Kudos BAWACHA 🫡✌️
 
Kwakweli maadhimisho yamefana sana, na hakuna aliyebebwa kwenye fuso wala kuahidiwa nyama za Ng'ombe.

Kudos BAWACHA 🫡✌️
Wala hakuna aliyevishwa matenge ya bei chee yenye picha ya mtu
 
Yani Wamependeza balaa ni hatari na nusu Sasa Ukutane na Wale wachawi wa Kijani na nguo zao ziliochorwa huyo Bibi yao
 
Back
Top Bottom