Bawacha ndio Taasisi Pekee ya Akina Mama inayoweza kuandaa kongamano Bora la Wanawake Duniani, Mamluki mtaburuza mkia tu

Hayo magauni ndio sare ya chama?

Nauliza kwa nia njema
 
Ndivyo inavyotakiwa. Ila mpiga picha hajawatendea haki. Sasa mnatakiwa mboreshe social media yenu kwa kuwa na updates za kila mara.

Amandla...
 
Unayaonaje ukifananisha na yale matenge ya kichovu ya upande wa pili?

Yako vizuri kuliko ya mbogamboga

Nadhani kama mchangiaji alivyosema hapo juu CHADEMA watafute photographer mzuri
 
Kwakweli maadhimisho yamefana sana, na hakuna aliyebebwa kwenye fuso wala kuahidiwa nyama za Ng'ombe.

Kudos BAWACHA 🫡✌️
 
Kwakweli maadhimisho yamefana sana, na hakuna aliyebebwa kwenye fuso wala kuahidiwa nyama za Ng'ombe.

Kudos BAWACHA 🫡✌️
Wala hakuna aliyevishwa matenge ya bei chee yenye picha ya mtu
 
Yani Wamependeza balaa ni hatari na nusu Sasa Ukutane na Wale wachawi wa Kijani na nguo zao ziliochorwa huyo Bibi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…