Kwa vile Yuko G55 wenye akili kubwa kuliko mwenyekiti wenu tapeli la kisiasa aliyekosa busara na hekimaHuyu dada Catherine Ruge alivyopigwa Chini kwenye Ukatibu Mkuu wa BAWACHA nilihuzunika Sana.
Ila kwa Sasa naona waliompiga Chini waliona mbali Sana kumbe alikuwa kirusi kwenye chama. Kateuliwa tu kwenye Secretariat kwa heshima kaanza ujinga. Akae pembeni asaidie mambo ya uhasibu.
Sema hakuna unachopata kwa hao unsowashangilia. Hivi mnadhani siasa ni sawa na ushaabiki wa mpira ambano hata matahira na wajinga wanaweza kishangilia goli bila kujali kafunga nani.Kwa vile Yuko G55 wenye akili kubwa kuliko mwenyekiti wenu tapeli la kisiasa aliyekosa busara na hekima
Kwa vile Yuko G55 wenye akili kubwa kuliko mwenyekiti wenu tapeli la kisiasa aliyekosa busara na hekima
Nawashangilia kwa vile Wana hoja nzito kiasi kwamba Lissu na genge lake wanashindwa kuzijibuSema hakuna unachopata kwa hao unsowashangilia. Hivi mnadhani siasa ni sawa na ushaabiki wa mpira ambano hata matahira na wajinga wanaweza kishangilia goli bila kujali kafunga nani.