mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Faraja ya masikini siku zote ni kusikia majanga kw tajiriKaimu mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Sharifa Suleiman amelitaka jeshi la polisi Tanzania kumfukuza kazi aliyekua kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Theopista malya kwa kutoa kauli za dhihaka kwa binti aliyefanyiwa unyanyasaji kwa kubakwa na kulawitiwa. amesema hakustahili kuhamishwa kitengo tu bali kufkuzwa kazi mazima.
Kaimu mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Sharifa Suleiman amelitaka jeshi la polisi Tanzania kumfukuza kazi aliyekua kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Theopista malya kwa kutoa kauli za dhihaka kwa binti aliyefanyiwa unyanyasaji kwa kubakwa na kulawitiwa. amesema hakustahili kuhamishwa kitengo tu bali kufkuzwa kazi mazima.
Faraja ya masikini siku zote ni kusikia majanga kw tajiri
Je,wewe binafsi ungejisikiaje endapo kama huyo aliyedhihakiwa na kudhalilishwa na RPC Mallya angekuwa mama yako mzazi? Je, ungekuwa umefurahishwa na hiyo dhihaka iliyofanywa na huyo RPC??Kiki kama kiki
We unayo video akitamka maneno hayo??Je,wewe binafsi ungejisikiaje endapo kama huyo aliyedhihakiwa na kudhalilishwa na RPC Mallya angekuwa mama yako mzazi? Je, ungekuwa umefurahishwa na hiyo dhihaka iliyofanywa na huyo RPC??