BAWACHA yaandaa mafunzo ya Wajasiriamali kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chadema

BAWACHA yaandaa mafunzo ya Wajasiriamali kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chadema

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baraza la wanawake wa Chadema (BAWACHA), Ambayo ndio Taasisi bora kabisa ya Akina mama kwa sasa barani Afrika, imeitisha semina kwa ajili ya wajasiriamali wote kwa lengo la kuwajengea uwezo ili kuboresha biashara zao.

Semina hii kabambe itafanyika Jumamosi tarehe 25/9/2021 kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni, kuanzia saa 6 Mchana.

MUHIMU: Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona.

Wote Mnakaribishwa.

%40official_bawachataifa_%E2%9C%8C%EF%B8%8F%E2%9C%8C%EF%B8%8F%E2%9C%8C%EF%B8%8F.jpg
 
Safi sana wamama na wadada wa CDM. Najua sio Bora zaidi Afrika ila angalau Tanzania sawa
 
Semina hii kabambe itafanyika Jumamosi tarehe 25/9/2021 kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni , kuanzia saa 6 Mchana .
Ni vizuri sana kufanyia nje ya jiji ili kuepusha msongamano na foleni zisizo za lazima. Nimekupata vyema mkuu

Natumaini policcm hawatakuja na hila zao za kutaka kuzuia semina hii muhimu kwa mustakabali wa Taifa
 
Oohooooo! Wamejichongea. Wasingetangaza watavamiwa na kuulizwa mafunzo hayo yana kibali toka VETA, yangu macho😂😂😂
 
Baraza la wanawake wa Chadema (BAWACHA) , Ambayo ndio Taasisi bora kabisa ya Akina mama kwa sasa barani Africa , imeitisha semina kwa ajili ya wajasiriamali wote kwa lengo la kuwajengea uwezo ili kuboresha biashara zao .

Semina hii kabambe itafanyika Jumamosi tarehe 25/9/2021 kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni , kuanzia saa 6 Mchana .

MUHIMU : Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .

Wote Mnakaribishwa .

View attachment 1948821
Unplanned projects as usual
 
Wameamua kujiongeza, maana gaidi la kuwapa pesa halipo tena.
 
Mkuu una uhakika mamá na dada zetu watatosha kukaa humu!?? 😀

images (59).jpeg
 
Back
Top Bottom