Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chaguo ni lako , ukichagua umasikini unaoitwa tozo basi ni sawaHatuji sasa
Ni vizuri sana kufanyia nje ya jiji ili kuepusha msongamano na foleni zisizo za lazima. Nimekupata vyema mkuuSemina hii kabambe itafanyika Jumamosi tarehe 25/9/2021 kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni , kuanzia saa 6 Mchana .
Hoja yako imesikikaKila kitu dar na sisi wa mikoani lini? mtuangalia kwa jicho la huruma wake zetu na wenyewe wafaidike .
Unawatapeli vipi watu ambao hawalipi chochote ?Acha kutapeli watu.
Mafunzo hapo Bandani?
Unplanned projects as usualBaraza la wanawake wa Chadema (BAWACHA) , Ambayo ndio Taasisi bora kabisa ya Akina mama kwa sasa barani Africa , imeitisha semina kwa ajili ya wajasiriamali wote kwa lengo la kuwajengea uwezo ili kuboresha biashara zao .
Semina hii kabambe itafanyika Jumamosi tarehe 25/9/2021 kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni , kuanzia saa 6 Mchana .
MUHIMU : Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
Wote Mnakaribishwa .
View attachment 1948821
Wameamua kujiongeza, maana gaidi la kuwapa pesa halipo tena.Baraza la wanawake wa Chadema (BAWACHA) , Ambayo ndio Taasisi bora kabisa ya Akina mama kwa sasa barani Africa , imeitisha semina kwa ajili ya wajasiriamali wote kwa lengo la kuwajengea uwezo ili kuboresha biashara zao .
Semina hii kabambe itafanyika Jumamosi tarehe 25/9/2021 kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni , kuanzia saa 6 Mchana .
MUHIMU : Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona .
Wote Mnakaribishwa .
View attachment 1948821
Watatosha sana.
Waje wamebeba PGONi vizuri sana kufanyia nje ya jiji ili kuepusha msongamano na foleni zisizo za lazima. Nimekupata vyema mkuu
Natumaini policcm hawatakuja na hila zao za kutaka kuzuia semina hii muhimu kwa mustakabali wa Taifa