Pre GE2025 BAWACHA yaonya wanachamana wake Makete kunyanyaswa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo akiwa kwenye mkutano wa hadhara eneo la soko kuu Makete mjini ameonya wanaowanyanyasa wanachama wa CHADEMA wilayani Makete kuacha tabia hiyo kwa kuwa kila chama kipo kwa mujibu wa sheria.
 
Inabidi Bawacha waongeze sauti. Ni chombo muhimu sana katika kutetea haki na kupinga uonevu katika jamii.

Amandla...
 
Back
Top Bottom