Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo akiwa kwenye mkutano wa hadhara eneo la soko kuu Makete mjini ameonya wanaowanyanyasa wanachama wa CHADEMA wilayani Makete kuacha tabia hiyo kwa kuwa kila chama kipo kwa mujibu wa sheria.