Bayer wauza aspirini walizozipakaa virusi vya aids...nbc inasema

Bayer wauza aspirini walizozipakaa virusi vya aids...nbc inasema

Bin Faza

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
502
Reaction score
191
Waungwana

Kwa wale wanopenda kutumia madawa kutoka nchi za nje, kuna haja ya kujuwa kwamba viwanda vifanyavyo dawa hizo sio kila siku ni wa kweli na waaminifu, baadhi ya wakati wanatumia dawa zao kusamba maradhi, ushahidi umetolewa an tv maarufu huko USA NBC

https://www.youtube.com/watch?v=PR7V-rCTnjw

ona video hiyo
 
Virusi vya Ukimwi haviwezi kuishi bila uwepo wa majimaji (semen, vaginal secretions na damu) tena haviwezi kudumu mda mrefu nje ya hali hiyo.

Changanya na za kwako.
 
inategemea vilivoundwa, si unajuwa virusi vinaweza kuwekwa kwa njia zaidi ya moja ya kitaalamu?

hiyo uliyoitazama ni international tv si dhani kwamba hawajui walisemalo
 
Back
Top Bottom