Bin Faza JF-Expert Member Joined Jun 12, 2013 Posts 502 Reaction score 191 Jun 18, 2013 #1 Waungwana Kwa wale wanopenda kutumia madawa kutoka nchi za nje, kuna haja ya kujuwa kwamba viwanda vifanyavyo dawa hizo sio kila siku ni wa kweli na waaminifu, baadhi ya wakati wanatumia dawa zao kusamba maradhi, ushahidi umetolewa an tv maarufu huko USA NBC https://www.youtube.com/watch?v=PR7V-rCTnjw ona video hiyo
Waungwana Kwa wale wanopenda kutumia madawa kutoka nchi za nje, kuna haja ya kujuwa kwamba viwanda vifanyavyo dawa hizo sio kila siku ni wa kweli na waaminifu, baadhi ya wakati wanatumia dawa zao kusamba maradhi, ushahidi umetolewa an tv maarufu huko USA NBC https://www.youtube.com/watch?v=PR7V-rCTnjw ona video hiyo
Mwanaukweli JF-Expert Member Joined May 18, 2007 Posts 4,786 Reaction score 1,715 Jun 18, 2013 #2 Virusi vya Ukimwi haviwezi kuishi bila uwepo wa majimaji (semen, vaginal secretions na damu) tena haviwezi kudumu mda mrefu nje ya hali hiyo. Changanya na za kwako.
Virusi vya Ukimwi haviwezi kuishi bila uwepo wa majimaji (semen, vaginal secretions na damu) tena haviwezi kudumu mda mrefu nje ya hali hiyo. Changanya na za kwako.
Bin Faza JF-Expert Member Joined Jun 12, 2013 Posts 502 Reaction score 191 Jun 20, 2013 Thread starter #3 inategemea vilivoundwa, si unajuwa virusi vinaweza kuwekwa kwa njia zaidi ya moja ya kitaalamu? hiyo uliyoitazama ni international tv si dhani kwamba hawajui walisemalo
inategemea vilivoundwa, si unajuwa virusi vinaweza kuwekwa kwa njia zaidi ya moja ya kitaalamu? hiyo uliyoitazama ni international tv si dhani kwamba hawajui walisemalo