Bayern, Liverpool, Madrid na Roma kukipiga nusu fainali ya UEFA, nani ana nafasi kubwa kuchukua Ubingwa?

Ndio maana FIFA imewapuuza maRefaree wa uingereza. Hakuna hata mmoja. Pumbafu kabisa.
mkuu ma referee wa kiingreza ni wapumbavu zile sekunde zilizobaki angetumia hata busara tu kumaliza mpira palepale watu waende dakika za nyongeza,yani angesoma hata mchezo ulivyokuwa na pressure
 
Wale wanaoamini kwenye Historia za Soka.
Uefa 1981
Timu 4 kutoka
England
Germany
Italy
Spain

Nusu Fainali
Liverpool vs Bayern Munich (1-1 agg.)
Intermilan vs Real madrid (1-2 agg.)

Fainal
Liverpool vs Madrid (1-0)
Aiseee
 
mkuu ma referee wa kiingreza ni wapumbavu zile sekunde zilizobaki angetumia hata busara tu kumaliza mpira palepale watu waende dakika za nyongeza,yani angesoma hata mchezo ulivyokuwa na pressure

Kabisa mkuu. Alafu wanakuja wengine hapa kuhalalisha lile goli,,, jamaa alijiangusha tena katikati ya mstari kabisa...aise FIFA waliona mbali sana kutowachukuwa kenge hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…