Bayern Munich yamtimua kocha Niko Kovac

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426


Hii ni baada ya timu hiyo kupokea kipigo cha mbwa koko kwenye mechi ya Jumamosi ugenini kwa Eintracht Frankfut ambako walitandikwa bao 5 -1.

Je, ni nani atapewa kazi ya kukinoa kikosi hiki?
 
Kama nawaona Arsenal wanavyomuwahi huyu kocha.
 
Nimesikia wakimtajataja pia Massimiliano Alegri wa Juventus Turin. So let us wait and see.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…